WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

MADFLAVA - Topics
Create Your Own App Store

* MADFLAVA > Topics


Subject: WALAPA!!!
Replies: 10 Views: 1565

burell5 8.03.10 - 08:13pm
Vipi wakenya? Mnavumiliya kuwa wakenya ama mna jivunia? *

ezkiel 8.03.10 - 08:29pm
Hebu weh cheki hiyo scenario,unaamka mangware stima zimepotea,kutoka nje Mat zimegoma,kutembea hadi waks viatu zinararuka,kufika waks kamdosi kanabonga cr*p hakataki kukuskiza,kutoka waks kunakastrike tao miguu niponye,kufika home kawife kanaitisha dough za food zenye umesanywa njiani,kufungulia tv atiurelax umaona kapolitician kanono kakiongea upuzi ati 2012,kuenda kudoze mifupa zinauma kilamahali ju ya the long day.Now tell me how can 1rily B proud 2 B kenyan?!? *

merseyng 8.03.10 - 08:30pm
Kusema ukweli,mi najivunia.y dn we js lv our country cz 2ko blest 2 sana *

ezkiel 8.03.10 - 08:37pm
Yeah tuko blessed with dumb politicians kwanza huyu M.P wetu anarushia watu mawe,shame on him.Look around U,wasee wanaiba 200milion na siku moja,mahindi zilimangwa na Ruto,mafuta ikamezwa na Kiraitu,pesa za watoi zikademwa na Ongeri.And whats worse is that communities are arming themselves for 2012.Just wait 4 it the GENOCIDE is about 2 befall Kenya! *

burell5 9.03.10 - 08:01pm
Yea. i can fill your pain. Navumilia kuwa mkenya!! Why say that IDPs wako bado kwa camps n mimi huku skul fiz inanileta fud kuona ni noma stima ukitumia una lipa salari yako yote ama usipo lipa inakatwa. NAVUMILIA KUWA MKENYA!!! *

faycal 14.03.10 - 08:40pm
i kan sei navumilia n najihurumia kuwa mkenya.i kas d day i wz born in thz god 4saken country.b4 2012 al b outta hia.nkt *

lys 20.03.10 - 09:48am
Nyi jivunie 2..mi najihurumia kuwa mkenya *

lys 20.03.10 - 09:51am
Ooh..nimekumbuka i got a rizon ya kujivunia...dats coz she is kenyan..ama aje circa *

filifulu 24.03.10 - 09:20pm
Mie najivunia; hebu check da situation in somalia n tel me kama inafikia yetu. A citizen in somalia cannot even compare to a prisoner in kenya coz atleast hawa wako sure na supper. Ask someone from iran wat kind of gvt they have,yes it is democratic but democracy thea is jst a name. Kwahivyo hata kama KPLC sikuhizi imegeuka Kenyans Please Light your Candles, bado najivunia kuwa mkenya *

burell5 31.03.10 - 09:22pm
Yea, kujivnia 90% and 10% sijivuni. You ppl are talking kitu. *

merseyng 2.04.10 - 06:09pm
In lyf,theaz a rsn 4 evritin.mayb we ndo utachange history ya hi nation so instead of kujihurumia,y dn u jikaze n jus do wot u gotta do n lyf wil b beta?pondeni hio plz *


* Reply
* MADFLAVA Forum


Search:
topics replies


* MADFLAVA

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store